News

WAKAZI wa Mtaa wa Mustafa Kata ya Pugu Wilaya ya Ilala wamehakikishiwa kuondolewa adha ya kwenda umbali mrefu kufuata huduma ...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan, amechukua fomu kugombea jimbo hilo. Akizungumza na waandishi wa ...
MWANASHERIA mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Omar Said Shabani,amesema tamko la Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Idrisa ...
Wakili Eric Kidyalla amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kugombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia ...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Dar es Salaam Abuubakari Ally ( Boka) ...
RAIS Dk Samia Suluhu Hassan,ametoa raia kwa uongozi wa kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM kuhakikisha kuwa wanaimarisha mifumo ya ...
WAZIRI wa Viwanda Suleiman Jafo amesema serikai italinda viwanda vya ndani Kwa kuhakikisha bidhaa zinazojitosheleza kwa ...
Yaliyotabiriwa yametimia. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ...
Ofisa Rasilimali Watu wa zamani (HR) wa Kampuni ya The Guardian Limited, Gloria Novatus Mushi, ni miongoni mwa wanawake ...
Job Ndugai, ambaye amekuwa Mbunge wa Jimbo hilo tangu mwaka 2000 na kuongoza kwa kipindi cha miaka 25 mfululizo alitangaza ...
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has sworn in former IGP and ambassador Simon Sirro as the Regional Commissioner for Kigoma, ...
Wananchi wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma wamehamasishwa kutambua huduma muhimu za chanjo katika kuokoa maisha ya mtu mmoja ...